Swali: Imewekwa Sunnah kwangu kuswali na viatu nikiwa nyumbani au katika bari?
Jibu: Ndio. Ikiwa hakuna kipingamizi au kizuizi ndio asli. Asli ni kuswali na viatu maadamu hakuna kizuizi ambacho kinapelekea kuvivua.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-4-23.mp3
- Imechapishwa: 09/11/2014