Swali: Nikiwa sina twahara naweza kugusu Qur-aan kupitia njia ya mfuniko wake wa nje (jarida)?
Jibu: Hapana. Mfuniko wake wa nje ambao umeambatana na msahafu hukumu yake ni kama hukumu ya msahafu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-10-15.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014