Asiyekuwa na twahara kugusa Qur-aan kupitia mfuniko wake

Swali: Nikiwa sina twahara naweza kugusu Qur-aan kupitia njia ya mfuniko wake wa nje?

Jibu: Hapana. Mfuniko wake wa nje ambao umeambatana na msahafu hukumu yake ni kama hukumu ya msahafu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014