Ashaa´irah ndio wa kwanza kuitwa Ahl-us-Sunnah?


Swali: Je, ni kweli kwamba watu wa kwanza kuitwa jina la ´Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah´ ni Ashaa´irah kisha baadaye likawa jina la Ahl-ul-Hadiyth?

Jibu: Sijawahi kuyasikia hayo. Hilo ni jina la Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Sijawahi kusikia kuwa ni jina la Ashaa´irah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (17)
  • Imechapishwa: 22/11/2020