Swali: Je, as-Saatir (الساتر) ni miongoni mwa majina ya Allaah?

Jibu: Hapana. Miongoni mwa majina ya Allaah ni as-Sittiyr (الستير):

“Hakika Allaah ni Mwingi wa haya na ni as-Sittiyr (Mwingi wa kusitiri)… “

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 26/03/2018