ar-Raajihiy kutumia Hadiyth dhaifu katika ubora wa matendo

Swali: Je, kunatumiwa Hadiyth dhaifu katika ubora wa matendo?

Jibu: Haitumiwi. Wako ambao wamejuzisha kutumia Hadiyth dhaifu katika ubora wa matendo kwa sharti kadhaa. Miongoni mwa sharti hizo udhaifu usiwe mkubwa na jambo hilo liwe na msingi katika Shari´ah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (23)
  • Imechapishwa: 06/11/2021