ar-Raajihiy kunyanyua mikono katika swalah ya jeneza

Swali: Ni ipi Sunnah inapokuja katika Takbiyr na kunyanyua au kutonyanyua mikono katika swalah ya jeneza?

Jibu: Swalah ya jeneza ina Takbiyr nne. Kuhusu kunyanyuma mikono ni jambo limepokelewa kutoka kwa baadhi ya Maswahabah akiwemo Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa). Kwa hivyo bora ni mtu kunyanyua.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=67941&audiotype=lectures&browseby=speaker
  • Imechapishwa: 29/07/2017