ar-Raajihiy kunyanyua mikono katika swalah ya jeneza

Swali: Ni ipi dalili ya kunyanyua mikono wakati wa kila Takbiyr katika swalah ya kumswalia maiti?

Jibu: Ni jambo limepokelewa kutoka kwa baadhi ya Maswahabah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 26/03/2018