ar-Raajihiy kumuadhinia na kumkimia mtoto mchanga II


Swali: Imethibiti kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitoa adhaana kwenye sikio moja la mtoto na akakimu kwenye sikio jengine?

Jibu: Haya yametajwa katika baadhi ya Hadiyth na ndani yake kuna baadhi ya unyonge. Akimuadhinia kwenye sikio la kulia na akamkimia kwenye sikio la kushoto ni sawa. Ingawa katika Hadiyth kuna baadhi ya unyonge.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (18)
  • Imechapishwa: 24/01/2021