ar-Raajihiy kuhusu msemo wa bahati nzuri au mbaya


Swali: Ni ipi hukumu ya kusema:

“Fulani amepata kwa bahati yake.”?

Jibu: Hakuna kwa upande wake yeye na si kwa upande wa Allaah. Allaah (Ta´ala) amekadiria mambo pasi na miadi. Kama mtu huyu amekusudia pasi na miadi hakuna neno. Kwa bahati bi maana kati yangu mimi na wewe hakuna ulichoahidi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 22/09/2018