´Aqiyqah kwa mtoto aliyetoka maiti


Swali: Mtoto anafanyiwa ´Aqiyqah akizaliwa maiti?

Jibu: Ndio. Ikiwa kipomoko kimeshafikisha miezi isiyopungua minne, basi imependekezwa kumfanyia ´Aqiyqah hata kama ameshakufa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
  • Imechapishwa: 05/02/2022