´Aqiyqah kwa mtoto aliyekufa baada ya miezi nane


Swali: Afanyiwe ´Aqiyqah mtoto ambaye ametoka akiwa maiti akiwa na miezi nane?

Jibu: Ikibainika kuwa ana umbile la mtu basi ni mwanaadamu. Hivyo atatakiwa aswaliwe, apewe jina na afanyiwe ´Aqiyqah.

  • Mhusika: Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 20/10/2018