´Aqiydah sahihi na ya nguvu inaathira Ruqyah


Swali: Baadhi ya watu watu wanaenda kwa wasomaji wafanyao Ruqyah kwa kuwa wana Imani yenye nguvu. Je, nguvu ya Imani ya msomaji ina taathira katika Ruqyah pamoja na Qur-aan?

Jibu: Ni jambo lisilokuwa na shaka. Nguvu ya Imani na ´Aqiydah sahihi, hili ni jambo lenye taathira kwa idhini ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://youtu.be/sVQ3GUKs2FA
  • Imechapishwa: 10/03/2018