Apa kwa jina la Allaah pasi na kuweka mkono juu ya musahafu

Swali: Katika mambo mengi utamuona mtu anaapa kwa kuweka mkono juu ya musahafu. Je, njia hii ni sahihi au inatosha kwa mtu kuapa tu kwa jina la Allaah?

Jibu: Inatosha kwa mtu kuapa kwa jina la Allaah pasi na kuweka mkono wake juu ya musahafu.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alifta.net/Fatawa/fatawaChapters.aspx?languagename=ar&View=Page&PageID=8812&PageNo=1&BookID=3
  • Imechapishwa: 27/05/2018