Swali: Mwenye kutubia na kumuasi Allaah anaweza kuwa walii miongoni mwa mawalii wa Allaah?

Jibu: Hili halina shaka. Akitubia tawbah sahihi na ya kweli Allaah anamsamehe na anakuwa walii wa Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (06) http://alfawzan.af.org.sa/node/2049
  • Imechapishwa: 30/11/2016