Anayemuhijia Mwengine Anapata Thawabu Mfano Wake?

Swali: Mtu anayemuhijia mwengine anapata thawabu sawa na yule mwenye hajj?

Jibu: Inategemea na nia. Ikiwa nia yake ni kuhiji badala ya ndugu yake na kumfanyia ihsani na yeye pia akajiombea mwenyewe katika zile sehemu tukufu, analipwa mara mbili; amemnufaisha ndugu yake na yeye mwenyewe kwa kuabudu katika sehemu hizi tukufu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017