Anayemuabudu Allaah pasina mapenzi ´ibaadah zake si sahihi


Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anamuabudu Allaah kwa matarajio na khofu pasi na kuwa na mapenzi ya kikweli kwa Allaah?

Jibu: Huyu ´ibaadah zake hazisihi. Ikiwa hampendi Allaah basi ´ibaadah zake hazisihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
  • Imechapishwa: 16/12/2017