Swali: Mimi nina mali ninayoitolea zakaah kila mwaka. Sikumbuki kama mwaka huu wa mwisho nilitoa zakaah. Je, itakuwa bado ni lazima kwangu kutoa zakaah?

Jibu: Ndio. Ikiwa ni mwenye kutilia shaka kama ulitoa au hukutoa zakaah, toa. Itoe ili uondoke kuwa na shaka. Zakaah ni faradhi – ni lazima kutekeleza faradhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2018