Anatakiwa kunyoa ndevu jeshini


Swali: Mimi ni kijana ambaye natakiwa kufanya huduma za kijeshi ndani ya nchi. Wamenishurutishia kunyoa ndevu. Je, niwatii katika hilo?

Jibu: Hapana. Achana na uanajeshi. Allaah atakutunukia kitu kingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1434-08-14.mp3
  • Imechapishwa: 21/05/2018