Swali: Inajuzu kwa mwanamke kuomba kujivua (الخلع) kutoka kwa mume wake kwa sababu amemuoea juu yake mwanamke mwingine?

Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo. Allaah amemhalalishia kufanya hivo. Allaah amemhalalishia kuoa wake wengi. Kwa hivyo haijuzu kwake kuomba kutengana pindi atapooa juu yake mwanamke mwingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017