Anataka kufanya ´Umrah baada ya kufika Makkah

Swali: Nilitoka mjini mwangu na nikapita kituoni na kipindi hicho sikuwa mwenye kunuia ´Umrah. Nilipofika Makkah nikataka kufanya ´Umrah. Niingilie Ihraam kwa wapi?

Jibu: Nende Tan´iym, Ju´raanah au ´Arabah. Kwa msemo mwingine kwenye mipaka ya Haram. Nende huko na unuie ´Umrah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 26/01/2020