Swali: Kuna mtu amevaa soksi na hawezi kuinama ili kuzipangusa. Afanye nini? Je, anaweza kufanya Tayammum badala yake?

Jibu: Hawezi kukaa chini na kupangusa? Ikiwa hawezi kufanya mwenyewe amtake mtu msaada ampangusie. Anahitajia msaada.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%204%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017