Anasema kutikisa kidole katika Tashahhud ni mchezo

Swali: Tunamjibu vipi ambaye anasema kuwa utikisaji wa kidole katika Tashahhud ni katika michezo inayoharibu swalah?

Jibu: Tunamrudi kwa yale tunayomrudi ambaye anasema kuwa Rukuu´ na Sujuud ni katika kucheza katika swalah. Hivyo ndivo tumeamrishwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 155
  • Imechapishwa: 03/07/2022