Anasafiri 80 km kwenda kazini


Swali: Kila siku naenda kazini 80 km. Je, inajuzu kwangu kujumuisha na kufupisha?

Jibu: Ikiwa masafa baina ya mji wako na kazini ni 80 km kama ulivosema, inafaa kwako kufupisha na kujumuisha. Unaenda na kurudi siku hiyo hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 28/06/2018