Anaritadi anayewaombea makafiri Allaah awarehemu au awasamehe?


Swali: Anaritadi yule ambaye anawaombea makafiri Allaah awarehemu au awasamehe?

Jibu: Ikiwa anajua makatazo juu ya hayo na akawaombea msamaha anakuwa mwenye kuritadi. Ama akiwa hajui basi anatakiwa kubainishiwa. Kwa sababu yanaweza kuwa miongoni mwa mambo yaliyofichikana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/03.mp3
  • Imechapishwa: 12/10/2018