Swali: Akikosea mwanachuoni anayefuata mfumo wa Salaf katika masuala fulani litangazwe kosa hilo au anasihiwe?

Jibu: Yuko hai au ameshakufa? Akiwa ameshakufa lisitajwe kosa hili au dhambi hii. Badala yake anatakiwa kuombewa msamaha na aombewe du´aa. Akiwa hai, basi anatakiwa kunasihiwa juu ya jambo hili.

  • Mhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18327
  • Imechapishwa: 23/10/2021