Anapoangalia mswaliji wakati wa du´aa ya Qunuut

Swali: Wakati wa kunyanyua mikono katika du´aa ya Qunuut mtu anatakiwa kubakiza macho yake maeneo ya Sujuud?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 179-180
  • Imechapishwa: 03/07/2022