Anapata dhambi mwenye kutupa kitu kilicho na utajo wa Allaah kwenye taka?


Swali: Je, mtu anapata dhambi akitupa kitu kwenye taka kilicho na utajo wa Allaah pamoja na kuzingatia kwamba hakufanya hivo kwa dharau?

Jibu: Ndio. Ikiwa karatasi hiyo iko na utajo wa Allaah akichome au akizike chini ya udongo au mchanga ulio msafi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 28/12/2018