Anapambana na Allaah wakati hamtatulii mahitaji yake na kuacha swalah


Swali: Ni ipi hukumu ya mtu ambaye mara anaswali na mara nyingine haswali na akasema kuwa yeye anampiga vita Mola wake wakati ambapo hakitekelezi kwake kile anachokitaka na hivyo anaacha swalah. Ni ipi hukumu ya kuoa wasichana zake?

Jibu: Huyu ni kafiri. Anatakiwa kuambiwa kutubia. Akitubia ni sawa na vinginevyo auliwe.

Kuhusu wasichana zake, habebi mtu mzigo wa mwingine.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 21
  • Imechapishwa: 01/07/2022