Swali: Napata uzito wa kuelewa mlango wa biashara. Ni ipi njia sahihi ya kurekebisha jambo hilo?
Jibu: Njia sahihi ni wewe usome maelezo na uulize yale yanayokutatiza mpaka pale utakapofahamu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
- Imechapishwa: 05/02/2022