Swali: Mume ana haki ya kumzuia mke kuwatembelea wazazi wake?

Jibu: Haitakikani kumsababishia kukata udugu. Badala yake anatakiwa kumhimiza kuuga udugu na kuwatembelea wazazi wake. Isipokuwa tu ikiwa wazazi wawili hao wanaharibu mahusiano ya mwanamke kwa mume wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 30/12/2020