Anamnyonyesha mtoto mbele ya dada zake


Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kumnyonyesha mtoto wake mbele ya dada zake?

Jibu: Hakuna ubaya akamnyonyesha mtoto wake mbele ya dada zake.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=338
  • Imechapishwa: 08/03/2018