Anakufuru anayefanya mzaha na dini kwa sababu ya kuchekesha watu?

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya mzaha na dini kwa sababu ya kutaka kuwachekesha watu?

Jibu: Hukumu yake ni kuwa ni kafiri. Ni mamoja awe amekusudia kweli, anafanya mchezo au anawachekesha tu. Amekufuru baada ya kuamini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 141
  • Imechapishwa: 25/12/2018