Anaefunga bila ya kuswali hana swawm


Swali: Ipi hukumu ya mwenye kufunga na haswali au anaswali dhuhr na ´aswr mwisho wa ´aswr na hii ndio ada yake?

Jibu: Aanefunga na haswali hana swawm. Kwakuwa anaeacha swalah hakubaliwi kutoka kwake ´amali zingine mpaka ahifadhi swalah zake. Na swalah ndio imesisitizwa zaidi kuliko swawm. Swalah ndio nguzo ya pili. Na swawm ni nguzo ya nne. Swalah ndio msingi wa ´amali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/allmohadrat?page=4
  • Imechapishwa: 15/05/2018