Anadaiwa pesa na mlevi


Swali: Mimi nina deni la mlevi. Nina uhakika endapo nitamlipa deni lake atanunua pombe. Je, nimrudishie pesa hii au haijuzu?

Jibu: Ndio, mrudishie. Jukumu na dhambi ni yake. Wewe tekeleza dhimma yako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017