Ana mkataba wa kazi wa miezi miezi 10 na anataka kufupisha na kukusanya swalah


Swali: Nafanya kazi katika nchi hii na nitakaa miezi kumi kisha nitarudi katika nchi yangu. Je, inafaa kwangu kufupisha na kukusanya swalah mpaka pale nitaporudi kwenda kwa familia yangu kwa muda wa miezi hii kumi?

Jibu: Ukinuia kukaa zaidi ya siku nne basi ni lazima kwako kuswali kikamilifu. Kwa sababu katika hali hiyo safari itakuwa imekatika kwa kukaa zaidi ya siku nne.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 26/05/2019