an-Nawawiy kuhusu aliyekufa akiwa na hedhi na janaba

Madhehebu yetu [sisi Shaafi´iyyah] ni kwamba mtu mwenye janaba na mwenye hedhi wakifa basi wanaoshwa josho moja tu. Hayo ndio maoni ya wanachuoni wengi isipokuwa al-Hasan al-Baswriy ambaye ameonelea kuwa anatakiwa kuoshwa josho mbili. Ibn-ul-Mundhiriy amesema:

“Hakuna zaidi yake aliyeonelea hivo.”

  • Mhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Muhadhdhab (05/123)
  • Imechapishwa: 24/01/2019