Swali: Je, mtu aeneze vitabu vya zamani vya Shaykh Ibn Jibriyn?

Jibu: Ninaonelea kuwa kusienezwe vitabu vya watu wa Bid´ah wote. Wanataka kueneza madhehebu yao. Inatosheleza kwa yule mwenye kumuamini au kusoma vitabu vyake kuonelea kuwa ana haki au mfano wa hayo na kwamba ni mpambanaji katika dini. Isitoshe, ijulikane kuwa kuna watu katika Ahl-us-Sunnah ambao wamefanya vivyo hivyo. Hatuna haja ya vitabu hivi.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=130284
  • Imechapishwa: 05/07/2020