Swali: Tumefikiwa na khabari unasema kuwa Shaykh ´Abdullaah bin Jibriyn sio katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wakati kuna ambao wanasema kuwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Unasemaje?

Jibu: Ibn Jibriyn ni Ikhwaaniy, Ikhwaaniy, Ikhwaaniy.

Swali: [Swali haliko wazi]…

Jibu: Sio katika watu walio na mfumo sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yayhaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=130284
  • Imechapishwa: 05/07/2020