Swali:  Je, ni sahihi umesema kuwa Shaykh Ibn Jibriyn ni mzushi?

Jibu: Shaykh Ibn Jibriyn ni Ikhwaaniy. Ni, kama inavyosemekana, Ikhwaaniy wa kukolea. Ninataka msome kitabu “Radd-ul-Jawaab”[1]. Mkipata kosa lolote humo, basi mnieleze. Allaah anajua kuwa sikumraddi isipokuwa ni kwa sababu ya kutaka kunusuru Tawhiyd na haki. Uhakika wa Ibn Jibriyn umefichuka. Hali yake imekuwa wazi.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/ahmad-an-najmiy-akimjibu-ibn-jibriyn/

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=130284
  • Imechapishwa: 05/07/2020