Ami na kaka kuwa shahidi katika ndoa ya dada yake

Swali: Waliokuwa mashahidi katika ndoa yangu ni kaka yake na mke na ami yake. Je, ndoa hii ni sahihi?

Jibu: Ndio, hakuna neno. Ushahidi wao unakubalika. Ushahidi usiokubalika ni wa baba yake au mtoto wake, huu ndio ushahidi usiokubalika. Ama ushahidi wa kaka yake, ami yake, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-6-9.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014