Nadhiri ya kusimama usiku kuswali Allaah akimponya mwanae

Swali: Kuna mtu aliweka nadhiri Allaah akimponya mtoto wake basi atasimama kuswali kwa muda wa nyusiku tano. Lakini alifanya uvivu…

Jibu: Kwa hali yoyote anatakiwa kusimama nyusiku tano. Huku ndivo shaytwaan anavyokuchezea. Allaah amekukirimu na wewe unafanya ubakhili?

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Waqafaat ma´aa Hadiyth tatadaa´ alaykum-ul-Umamu https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/wgfaaat.mp3
  • Imechapishwa: 23/09/2022