Swali: Mwenye kuswali swalah ya sunnah kisha akakumbuka kuwa ameiswali bila ya wudhuu´. Je, ni lazima airudi?

Jibu: Hapana. Swalah ya sunnah hairudiliwi. Kama anataka kuswali swalah ya sunnah nyingine ni sawa, ama kuirudi tena, swalah ya sunnah hairudiliwi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017