Swali: Kwa muda wa miezi miwili mwanamke alikuwa akipangusa kichwa chake wakati wa kuoga janaba. Hakuwa anajua kuwa ni lazima kuziosha. Ni lipi la wajibu kwake?

Jibu: Hakutwahirika. Hakuosha nywele zake. Twahara yake haikutumia. Ni lazima kwake kuzirudi swalah zake kwa kupangilia. Ni kwa nini hakuuliza? Kwa nini hakuwauliza wanachuoni?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 13/11/2016