Ameswali kinyume na Qiblah ndani ya mji

Swali: Kuna mtu aliingia ndani ya mji na akaswali kinyume na Qiblah. Je, azirudi swalah zake alizoswali?

Jibu: Ndio. Angeweza kuwauliza watu. Angeweza kuchukua kalenda misikitini. Hana udhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 10/08/2018