Amesoma Dhikr ndani ya swalah mahali kusipokuwa pake

Swali: Mwenye kusoma ndani ya swalah Dhikr iliyowekwa katika Shari´ah mahali kusipokuwa pake ni lazima kwake kusujudu sijda ya kusahau au hapana?

Jibu: Hakuna juu yake sujudu wala kitu kingine.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (09) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191370#219699
  • Imechapishwa: 06/03/2019