Swali: Ni zipi nasaha zako kwa ambaye amepitwa na Rak´ah moja au zaidi kisha akasimama kukamilisha swalah yake kabla ya imamu kutoa salamu ya pili?
Jibu: Hili ni kosa. Lakini baadhi ya wanachuoni wanaona kuwa swalah yake inasihi. Jopo la wanachuoni wengi wanaona ulazima wa salamu ya kwanza. Makusudio ni kwamba anapaswa kusubiri mpaka pale ambapo imamu atatoa salamu ya pili kwa ajili ya kujiondoa nje ya tofauti za wanachuoni. Kwa sababu wako wanachuoni wenye kuona kuwa swalah yake haisihi na kwamba salamu ya pili ni lazima.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (15)
- Imechapishwa: 11/09/2020
Swali: Ni zipi nasaha zako kwa ambaye amepitwa na Rak´ah moja au zaidi kisha akasimama kukamilisha swalah yake kabla ya imamu kutoa salamu ya pili?
Jibu: Hili ni kosa. Lakini baadhi ya wanachuoni wanaona kuwa swalah yake inasihi. Jopo la wanachuoni wengi wanaona ulazima wa salamu ya kwanza. Makusudio ni kwamba anapaswa kusubiri mpaka pale ambapo imamu atatoa salamu ya pili kwa ajili ya kujiondoa nje ya tofauti za wanachuoni. Kwa sababu wako wanachuoni wenye kuona kuwa swalah yake haisihi na kwamba salamu ya pili ni lazima.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (15)
Imechapishwa: 11/09/2020
https://firqatunnajia.com/amesimama-kukamilisha-swalah-yake-kabla-ya-tasliym-ya-pili-ya-imamu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)