Amesema Takbiyrat-ul-Ihraam pamoja na imamu

Swali: Kuna baadhi ya maamuma husema Takbiyrat-ul-Ihraam pamoja na imamu…

Jibu: Haijuzu. Swalah si sahihi. Ni lazima Takbiyrat-ul-Ihraam ziwe baada ya Takbiyrat-ul-Ihraam ya imamu:

“Imamu amewekwa ili afuatwe. Akifanya Takbiyr, nanyi fanyeni Takbiyr. Wala msifanye Takbiyr mpaka yeye kwanza afanye Takbiyr.”[1]

[1] Muslim, Abu ´Awaanah, Ahmad na Abu Daawuud.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 12/08/2018