Amesahau sijda ya kusahau na Tashahhud ya kwanza kwa kusahau

Swali: Kipi kinachomlazimu mswaliji ambaye ameacha Tashahhud ya kwanza kwa kusahau kisha pia akaacha sijda ya kusahau kwa kusahau?

Jibu: Akikumbuka baada ya salamu atasujudu sijda ya kusahau. Muda ukirefuka basi hilo litadondoka kutoka kwake kutokana na maoni sahihi zaidi ya wanazuoni.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/281)
  • Imechapishwa: 05/11/2021