Amesahau kusujudu sijda ya kusahau

Swali: Je, kuna kinachomlazimu yule ambaye amesahau sujudu ya kusahau?

Jibu: Fuqahaa´ wengi wanaona kwamba kukishapita muda mrefu au mtu akapatwa na hadathi basi sujudu inaanguka. Lakini bora zaidi ni punde tu atapokumbuka basi asujudu sijda mbili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 05/05/2019